Joyce kiria kuhusu maisha ya ndoa mbci
Joyce kiria kuhusu maisha ya ndoa mbci
Joyce kiria kuhusu maisha ya ndoa mbci video...
JOYCE KIRIA: Niliamua kuolewa kwa kukosa kodi ya nyumba
- Get link
- X
- Other Apps
Leo kwenye safu hii tunaye mwanaharakati na Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria.
Amefunguka mengi kutokana na maswali kumi aliyobanwa na Mwandishi Wetu Hamida Hassan.
Ijumaa: Wewe ni mwanaharakati ambaye muda mwingi unakuwa mbali na familia yako, vipi malezi ya watoto?
Joyce: Wanalelewa na dada ambaye huwafanyia kila kitu.
Ijumaa: Historia yako inaonesha uliwahi kuwa ‘house girl’, je ulishawahi kukutana na ishu ya kubakwa?
Joyce: Namshukuru Mungu nilikutana na mitihani mingi lakini sikuwahi kubakwa, ila katika kazi yangu nimekuwa nikikutana na wadada wengi waliofanyiwa hivyo na kuwasaidia.
Ijumaa: Mume wako amepita kwenye kura za maoni na kuelekea kwenye ubunge, unalizungumziaje hilo?
Joyce: Nimefurahi sana, namuombea kila la heri avuke katika hatua inayofuata.
Ijumaa: Hivi ni kwa nini uliachika kwenye ndoa ya m